Zitto Kabwe atoa tamko rasmi sakata la Mgombea Urais kati Lissu na Membe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuber Kabwe amesema October 3,2020 Vyama Vikuu vya Upinzani nchini vinataraji kufanya mkutano wa kumsimamisha mgombea Urais mmoja kwa Jamhuri ya Muungano ambapo katika mkutano huo wanaungana kuinadi Ilani moja na tayari vikao vya maamuzi vimeshafanyika.

“Mazungumzo yetu ya namna gani?, tutashirikiana vipi? yamekamilika October3, 2020 katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke DSM Vyama Vikuu vya Upinzani vitafanya mkutano wa hadhara kutangaza makubaliano tuliyofikia” Zitto Kabwe Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dogo wa Nyakabiga, anawezaje kuingilia
    Siasa za TZ.

    Mhamiaji wa Kinyemela alie kuwa Dereva
    sasa ni mwana Mwanga na Mwandiga..??

    Inakuwa hio..?? manake Makakala sielewi kama Ninja Lugola kamwachia SimbaChawene alifanyie upitiaji.

    Ukweli utabaki kuwa ukweli.

    ReplyDelete
  2. Wewe utamtapeli vp Membe. ule chake.
    umfate kumpa Dili laa Urahisi. uvute chake halaffu KanyaBoya.

    atakufungulia RB huko Lindi ulipompea Dili ya kanyaboya na ya Kitapeli.

    Dogo wa Nyakabiga, anawezaje kuingilia
    Siasa za TZ.

    Mhamiaji wa Kinyemela alie kuwa Dereva
    sasa ni mwana Mwanga na Mwandiga..??

    Inakuwa hio..?? manake Makakala sielewi kama Ninja Lugola kamwachia SimbaChawene alifanyie upitiaji.

    Ukweli utabaki kuwa ukweli.

    ReplyDelete
  3. Wewe utamtapeli vp Membe.?? ule chake.
    umfate kumpa Dili la Urahisi. uvute chake halafu unampiga KanyaBoya.

    atakufungulia RB huko Lindi ulipompea Dili ya kanyaboya na ya Kitapeli.

    Dogo wa Nyakabiga, unawezaje kuingilia
    Siasa za TZ.

    Mhamiaji wa Kinyemela alie kuwa Dereva
    sasa ni mwana Mwanga na Mwandiga..??

    Inakuwa hio..?? manake Makakala sielewi kama Ninja Lugola kamwachia Simbachawene alifanyie upitiaji.

    Ukweli utabaki kuwa ukweli.

    ReplyDelete
  4. Dogo kachemsha..!!! Kutokuelewa Sheria kanuni na taratbu za usajili wa vyama vya Siasa na Tume ya uchaguzi n tatizo lako.

    Jiongeze,ili uondokane na ....!! uropokaji na udandiaji.

    ReplyDelete
  5. Wa kuja kuzungumza hili na sisi wapiga
    Kura siyo wewe dogo.

    Tunamuhitaji mgombea alie idhinishwa
    kihalali na tume,baada ya kukidhi vigezo na Masharti.

    Dogo una lielewa hilo..!!??

    Kama ulizowea upelekeshaji siyo kwa
    huyu Mzee na mwenzake kojani uwatoe katika Marathon njiani baada ya wewe kukosa Uwakilishi. Hamna cha bure, hata za Kigambooni na lile jiwe la kungara zote Utarudisha baada ya Nondo

    ReplyDelete
  6. Wa kuja kuzungumza hili na sisi wapiga
    Kura siyo wewe dogo.

    Tunamuhitaji mgombea alie idhinishwa
    kihalali na tume,baada ya kukidhi vigezo na Masharti.

    Dogo una lielewa hilo..!!??

    Kama ulizowea upelekeshaji siyo kwa
    huyu Mzee na mwenzake kojani uwatoe katika Marathon njiani baada ya wewe kukosa Uwakilishi. Hamna cha bure, hata za Kigambooni na lile jiwe la kungara zote Utarudisha baada ya Nondo

    ReplyDelete

Top Post Ad