9/21/2020

Zuchu Afunguka Tetesi za Kutoka Kimapenzi na Boss wake Diamond Platnumz

 


Msanii wa Bongoflava Zuchu akanusha vikali skendo ya kutoka kimapenzi na Boss wake Diamond na wala haishi mjengoni kwa Diamond Platnumz kama watu wanavyodhani

Hii imekuja baada ya watu kuona ukaribu wao na jinsi Diamond Platnumz anavyotumia nguvu nyingi kumpromote tofauti na wasanii wengine alionao kwenye lebo ya wasafi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger