10/15/2020

Tetesi za IRENE Uwoya Kutumia Milion 100 Kufanya Party ya Usiku Mmoja...Mwenyewe Afunguka Haya

Tetesi za IRENE Uwoya Kutumia Milion 100 Kufanya Party ya Usiku Mmoja...Mwenyewe Afunguka Haya

Mwanamama mkali kwenye tasnia ya Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya, amevunja ukimya juu ya tetesi za kufanya pati ya kukata na shoka, kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania.


Awali, gazeti la IJUMAA WIKIENDA lilipokea madai kwamba, kuna siku Uwoya aliangusha pati la hatari katika Hoteli ya Sea-Cliff iliyopo Masaki jijini Dar na kufanya kufuru ya aina yake, ambapo watu hasa mastaa wenzangu, walikula bata mpaka kukapambazuka siku ya pili yake.


Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA WIKIENDA, mambo yalikuwa hivi;

IJUMAA WIKIENDA: Uwoya kuna jambo limekuwa likizungumzwa mno mitaani kwamba, kuna siku ulifanya sherehe pale Sea Cliff Hotel (Masaki jijini Dar) na wasanii wenzako wenyewe wakawa wanajiuliza ni sherehe ya nini, inasemekana ulitumia zaidi ya shilingi milioni mia, moja, hii ishu ina ukweli kiasi gani?


UWOYA: Unajua kutumia pesa zaidi ya shilingi milioni mia moja, siyo kwamba mtu una pesa sana, maana inawezekana kuna watu wako wa karibu wamekusaidia kwenye hilo. Naomba watu waache kumuangalia mtu kwa mtazamo hasi wa nje, wajifunze hilo

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger