10/15/2020

Mume wa Qeen Darling Arusha Dongo Jingine "Nilichogundua Instagram Wanamuonea Sana Mke Wangu Qeen Darling"


Mume wa Qeen Darlin Isihack Ameandika Haya Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram:

 

"Nilichogundua Instagram wanamuonea sana wivu mama @balqis.isihaka wale wasiolewa na hawana dalili za kuolewa...Sasa wale wote wenye wivu na Mke wangu @queendarleen_ wekeni emoji ya 😡 maana nataka kutoa zawadi kwa mtu mwenye comment nyingi🤣🤣 ila wasio na wivu weka" isihack


Wadau hawakubaki nyumba na kuanza kumshukia na Comments:


soudybrown : Hahahaha Dah.. hii Maana yake nini Sasa? 😂😂😂 Mzee Baba Naona unawakerrraaaaaa


janety_curtain: Tabia zakike izosisimizimrembo: Nlichogundua kiboko yako ni mange kimambi post moja tyu anakuharisha kila cku🤣🤣🤣🤣🤣

salimaabas76: Mambo mengine unayafanya tu kumfulahisha mke na sio wewe


safinaediga: Kah.tumuonee wivu kwa lipi mkikaa ndan ajulikan mwanamke nan mwanaume 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger