Ticker

6/recent/ticker-posts
.

A-Town ilisimama kumpokea Mshua Mchapakazi na Mzalendo wa Kweli

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


A-Town ilisimama kumpokea Mshua Mchapakazi na Mzalendo wa Kweli, Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kwenye Mkutano huo wa aina yake, hizi ndizo Sera alizozinadi na kuzisema Mlinzi wa Rasilimali zetu na Kiongozi wa mfano wa dunia Dkt John Pombe Magufuli.


#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM

Post a Comment

0 Comments