10/14/2020

Ali Kiba Avunja Ukimywa Mbele ya Rais Magufuli...Aomba FEDHA ili Afanyike Filamu ya Maisha ya Mwalimu Nyerere


Mfalme Wa Bongofleva @officialalikiba aiomba serikali kutoa fedha ambazo zitasaidia wasanii hasa wa Bongomovie kutengeneza filamu itakayosaidia jamii kuelewa maisha aliyoyaishi hayati Julius Kambarage Nyerere .

Kupitia Jukwaa La Kampeni Za CCM Katika Jiji La DSM Amesema...

"Naomba sana itengwe bajeti maalumu kwa ajili ya wasanii wa filamu kutengeneza filamu itakayoelezea historia ya Baba wa ataifa ili vizazi vijavyo vijifunze kutokana na mazuri ya baba wa taifa'' @officialalikiba

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger