Aliyekuwa Mume wa Shilole Uchebe Ajibu Tuhuma za Kutokujua Kusoma na Kuandika

 


Aliyekuwa mume wa Shilole uchebe1 ajibu tetesi za kutokujua kusoma na kuandika. Uchebe amekanusha madai hayo baada ya kudaiwa kuwa caption anazoandika mtandaoni huwa anaadikiwa.


Kupitia kipindi cha MASHAMSHAM, Uchebe aliamua kuandika kwa kutumia peni na karatasi ambapo aliandika ‘BABY NAKUPENDA’


Baada ya kuandika Uchebe, aliongea kuwa “Najua Juma Umetumwa ila kwa sasa ulichokitaka umekipata”. Ndipo mtangazaji wa kipindi hicho Juma Lokole akajibu kuwa yupo kazini na hajatumwa.


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE