10/29/2020

Anna Lupembe Wa CCM Ashinda Ubunge Jimbo la Nsimbo, KataviMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nsimbo, Mohamed Ramadhani, amemtangaza Ana Lupembe wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupata kura 38,346, akifuatiwa na Philipo Malaki wa ACT Wazalendo ambaye amepata kura 1292.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger