Askofu Gwajima Atoa Mpya 'Nina Jina la Kiislam, Naitwa Rashid'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashid Gwajima


Alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye Msikiti ambapo Waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali


Kutokana na suala hilo, alipata sababu ya kuusaidia Uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga Visima vya Maji


Gwajima ameyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya Darasa la Saba ya Shule ya Al Irshaad


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kaanza kuchanganyikiwa, wakati mambo bado

    ReplyDelete

Top Post Ad