Baada ya Ushindi, Yanga Yatahadharishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kocha mkuu wa KMC Habibu Kondo, amewatahadharisha Yanga kutokwenda na matokeo kichwani katika mechi dhidi yao itakayochezwa Jumapili ya tarehe 25 /10/2020 jijini Mwanza.

”Tunashukuru Mwenyezi Mungu tumefika salama tangu jana, na kwa sasa tumeshakuwa wenyeji hapa Mwanza, tumepata nafasi ya kufanya mazoezi jana na tumefanya mazoezi tena leo kuanzia saa 9:00 hadi saa11:00 jioni ili kuendelea kuzoea hali ya hewa, kiufundi timu tumeiandaa vyema”, alisema.

Ameongeza kuwa; ”Yanga isijiamini na matokeo iliyoyapata katika mchezo wa mwisho dhidi ya Polisi Tazania, huku sisi tukitoa sare katika mchezo wetu wa mwisho dhidi ya Ruvu Shooting, sisi tulikutana na wapinzani bora sana ndiyo maana tukapata matokeo hayo lakini dhidi ya Yanga ni mechi tofauti kabisa”.

KMC inajivunia kikosi chake chenye nyota kadhaa kama nahodha Juma Kaseja aliyepo kwenye kiwango bora kwa sasa, Israel Mwenda, Hassan Kapalata, Reliant Lusajo, Keny Ally Hassan Kabunda, Andew Vicent “Dante” na wengineo.

Katika msimu huu wa ligi 2020-2021, KMC ipo kwenye nafasi ya 6 ikiwa imecheza michezo 7, imeshinda 3 na kutoka sare 2, huku wakipoteza michezo 2 wakiwa wamefunga magoli 9 na kuruhusu kufungwa magoli 4.

”Tunashukuru Mwenyezi Mungu tumefika salama tangu jana, kwa sasa tumeshakuwa wenyeji hapa Mwanza, tumepata nafasi ya kufanya mazoezi jana na tumefanya mazoezi tena leo kuanzia saa 9:00 alasiri ili kuendelea kuzoea hali ya hewa, kiufundi timu tumeiandaa vyema”, alisema.

Ameongeza kuwa ”Yanga isijiamini na matokeo iliyoyapata katika mchezo wa mwisho dhidi ya Polisi Tazania, huku sisi tukitoa sare katika mchezo wetu wa mwisho dhidi ya Ruvu Shooting, sisi tulikutana na wapinzani bora sana ndiyo maana tukapata matokeo hayo lakini dhidi ya Yanga ni mechi tofauti kabisa”.

KMC inajivunia kikosi chake chenye nyota kadhaa kama nahodha Juma Kaseja aliyepo kwenye kiwango bora kwa sasa, Israel Mwenda, Hassan Kapalata, Reliant Lusajo, Keny Ally Hassan Kabunda, Andew Vicent “Dante” na wengineo.

Katika msimu huu wa ligi 2020-2021, KMC ipo kwenye nafasi ya 6 ikiwa imecheza michezo 7, imeshinda 3 na kutoka sare 2, huku wakipoteza michezo 2 wakiwa wamefunga magoli 9 na kuruhusu kufungwa magoli 4.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad