10/24/2020

Ben Pol abadili dini na kuwa MwuislamMwanamuziki wa BongoFleva Ben Pol leo Novemba 23, 2020 ametangaza kubadili  dini na kuwa muislamu

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, BenPol ameweka taarifa za picha  zilizoambatana na nakala ya cheti cha kubadilisha dini

Awali Ben Pol alikuwa akitumia jina la Bernard Paul na sasa anatambulika kama Behnam.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger