10/30/2020

Bona Kamoli ashinda ubunge jimbo la Segerea Mbunge aliyekuwa anatetea kiti chake katika jimbo la Segerea kupitia CCM Bona Kamoli ametangazwa kushinda baada ya kumshinda mpinzani wake John Mrema wa CHADEMA kwa kura 76,828.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger