10/16/2020

Cardi B afunguka sababu ya kumsamehe Offset Ikiwa ni mwezi Mmoja tu tangu aombe talaka , Rapa Cardi b na Mume wake Offsetyrn wameonesha kurudisha Mapenzi yao upya , baada ya kusheherekea Birthday ya Card B huko Las Vegas Wiki iliyopita .

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram , Rapa Card B aliamua kuingia LIVE na kuwaelezea mashabiki zake ni sababu zipi zimemfanya aamue kurudiana na Offset ambae amezaa nae mtoto Mmoja ." Nilianza kummiss sana .. ni ngumu sana kukaa bila kuongea na rafiki yako /Mtu wako umpendae na Pia siwezi kuishi bila kufanya mapenzi " - ameeleza Card B


Card B Pia ameeleza asingeweza kukataa zawadi ya Gari aina ya Rolls Royce ambayo Mume wake huyo alimzawadia Siku ya Birthday, Licha ya wawili hao kutokua na maelewano Kipindi hicho .

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger