10/09/2020

Chidi Benz ahoji dili kubwa kwenda kwa Diamond, Harmonize na Alikiba pekeeMsanii wa muziki@official_chidibeenz amefunguka kuzungumzia kitu ambacho kimamuumiza zaidi kwa sasa kwenye muziki ambapo amedai muziki umeshuka kwa sababu ni wasanii watatu tu ambao wanapewa dili na kuacha wasanii wengine wakiendelea kula msoto.

Amedai hali hiyo inakwenda kuupoteza kabisa muziki wa Tanzania kwa kuwa kizazi ambacho kinaonekana kinafanya vizuri ni cha wasanii wa Diamond, Harmonize pamoja na Alikiba.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger