10/05/2020

Clouds na EATV muwe mnawapanga wasanii Kutoka NJE kabla ya kuwafanyia interview

 Karibuni clouds wamekuwa wakiandaa show na wasanii kutoka nje ya nchi.

Kimbembe kimekuwa kikijitokeza kwenye interview na wasanii hao kwani jina la Diamond limekuwa haliepukiki na wakati mjengoni limepigwa X

Juzi juzi kwenye kipindi cha Friday night live EATV msanii kutoka Zimbabwe king 98 kamtaja mondi mpaka kero.

Alipoulizwa kuhusu wasanii wa Tanzania wanaosikilizwa Nigeria msanii wurld alijibu ni Diamond platnumz,v money na rayvanny.


Jana msanii rema kutoka Nigeria katua bongo. Alipoulizwa kuhusu Tanzania hakusita kumtaja Diamond platnumz.

My take;naziomba hizi media muwe mnawapanga hao wasanii. Wambieni wasanii wengine kama konde, Kiba, Nandy,n.k tofauti na hapo mtaaibika vya kutosha

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger