Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Daktari wa Ikulu asema hakuna hatari ya Trump kusambaza virusi vya corona

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mare

Daktari wa Ikulu ya Marekani, Sean Conley amesema, Rais Donald Trump hayumo tena katika kitisho cha kuweza kuambukiza virusi vya corona. 

Taarifa hiyo ya uchunguzi wa kitabibu imetolewa katika kipindi ambacho rais Trump anajiandaa kuanzisha upya mikusanyiko ya kampeni na matukio mengine. 


Taarifa hiyo ya daktari huyo inasema Trump ametimiza vigezo vya usalama vya Vituo vya Udhibiti na Kinga kwa hivyo hatazamwi katika hatari ya kueneza maambukizi. 


Hata hivyo taarifa hiyo haijasema kama kiongozi huyo kapimwa na kuonekana hana virusi hivyo.

Post a Comment

0 Comments