10/06/2020

Darasa la Saba Kuanza Mitihani ya Taifa KeshoJumla ya watahiniwa 1,024,700  wanatarajiwa kuanza mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kuanzia kesho, Oktoba 7 hadi Oktoba 8, 2020 na watahiniwa 974,532 watafanya mitihani hiyo kwa lugha ya kuswahili huku watahiniwa  49,475 wakitarajiwa kufanya kwa lugha ya Kiingereza.


 


Hayo yamesemwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dkt. Charles Msonde, leo, Oktoba 6, 2020 wakati akizungumza na vyombo vya habari na kuongeza kuwa maandalizi yote yamekamilika ikiwemo kusambazwa kwa karatasi za mitihani, fomu maalum za ‘OMR’ za kujibia mitihani na nyaraka zote muhimu zinazohusika katika mtihani huo nchi nzima.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger