David Silinde Ashinda Ubunge Jimbo la Tunduma

advertise here

Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Tunduma Mkoani Songwe, amemtangaza David Silinde wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupata kura 43,276, akifuatiwa na Frank Mwakajoka wa CHADEMA aliyepata kura 12,433.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE