10/05/2020

Davido adai kufanyiwa figisu na Wizkid na Burna boy, ili asifanye vizuri kimuziki ndani na nje ya NigeriaMsanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, @davidoofficial , amedai kuwa Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram wameungana ili kutaka kumpoteza kwenye ramani ya muziki nchini humo na nje ya Nigeria, Jambo ambalo amedai kuwa hawatoweza kufanikiwa.
Akizungumza katika kituo cha radio cha @BounceRadioLive cha nchini Nigeria, Davido amesema alijitahidi sana kuepuka bifu baina yake na Burna Boy Pamoja na Wizkid , ila wawili hao wameendelea kumchukia bila sababu ya msingi .


Davido alisikika akisema “Burna Boy alikasirishwa na mimi kupost picha nikiwa na Wizkid, Kuna mtu aliniambia kuwa @burnaboygram hakupendezwa na ile picha. Nasikia wameungana ili kushindana na mimi Lakini hawatafanikiwa kwa hilo “.


Kama kawaida  @wizkidayo na @burnaboygram hawajajibu chochote kile na sidhani kama wanaweza kumjibu kwani wakijibu tu, hiyo itakuwa ni attention kubwa kwa Davido na usishangae akaachia na ngoma mpya.


 

View this post on Instagram


#Bongo5Updates: DAVIDO ADAI @WIZKID NA @BURNABOYGRAM WAMEUNGANA KUMPOTEZA KWENYE GEMU NDANI NA NJE YA NIGERIA AKIONGEZA WANAMFANYIA FIGISU FIGISU SANA. Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, @davidoofficial , amedai kuwa Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram wameungana ili kutaka kumpoteza kwenye ramani ya muziki nchini humo na nje ya Nigeria, Jambo ambalo amedai kuwa hawatoweza kufanikiwa. Akizungumza katika kituo cha radio cha @BounceRadioLive cha nchini Nigeria, Davido amesema alijitahidi sana kuepuka bifu baina yake na Burna Boy Pamoja na Wizkid , ila wawili hao wameendelea kumchukia bila sababu ya msingi . Davido alisikika akisema "Burna Boy alikasirishwa na mimi kupost picha nikiwa na Wizkid, Kuna mtu aliniambia kuwa @burnaboygram hakupendezwa na ile picha. Nasikia wameungana ili kushindana na mimi Lakini hawatafanikiwa kwa hilo “. Kama kawaida  @wizkidayo na @burnaboygram hawajajibu chochote kile na sidhani kama wanaweza kumjibu kwani wakijibu tu, hiyo itakuwa ni attention kubwa kwa Davido na usishangae akaachia na ngoma mpya. 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger