Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Deodatus Mwanyika wa CCM Ashinda Ubunge Njombe MjiniMsimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Mwanyika (CCM) kuwa  mshindi wa jimbo hilo kwa kupata kura 29,553 huku mshindani wake Emmanuel Masonga (CHADEMA) akipata kura 5,940.  

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments