10/04/2020

Dkt Bashiru Ally Kesho Jumatatu atazungumza na Wazee wa Zanzibar


Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kesho Jumatatu Oktoba 05, 2020 atazungumza na Wazee wa Zanzibar Kutoka Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Kuanzia Saa 8 Mchana ili Kutoa mwenendo wa Kampeni za CCM. Si ya Kukosa wala ya Kutaka Usimuliwe. #T2020JPM #Mwinyi2020
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger