10/20/2020

Dr Bashiru "Wagombea wa CCM Kutoenguliwa ni Suala la Kutii Sheria"

 


Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amesema, Wabunge na Madiwani wa CCM kutoenguliwa ni suala la kutii #Sheria na kufuata Sheria

Amesema, "Uchaguzi katika nchi zote unasimamiwa na Sheria na Kanuni. Tuna vitengo vya Sheria vinavyozunguka na kutowaruhusu Wagombea wetu wa ngazi yoyote kujaza fomu bila kuhakikiwa"

Ameongeza kuwa, suala la kukosea haliwezekani kwasababu CCM ni Chama cha Kitaasisi chenye Mabalozi zaidi ya 250,000 ambao kazi yao kubwa ni kusimamia ushindi wa ChamaHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger