10/21/2020

Dr John Pombe Magufuli Katika Mkutano Mkubwa Uliofanyika Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro

 Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea na Mikutano yake ya Kampeni ya Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kisha kuomba Kura kwa Wananchi na asubuhi hii ya Leo Jumatano Oktoba 21, 2020 amefanya Mkutano Mkubwa Uliofanyika Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro na Haya ndiyo aliyoyazungumza. Twende na Mafiga matatu ya CCM bila ya Kuchanganya mambo. 


#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger