10/29/2020

Ester Bulaya apoteza ubunge Bunda MjiniEster Bulaya amepoteza jimbo la Bunda Mjini baada ya kushindwa na Robert  Maboto wa CCM  aliyepata kura 31,129 huku Bulaya akipata kura 13,258


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

2 comments:

 1. Ester's poleni...!!
  Watanzania Tumeamua na tumepaza sauti
  zetu.

  Mjifunze kuwa tulipo kupeni Ridhaa ilikuwa mtutumikie kutuletea maendeleo
  na siyo Malumbano ya kamanda komaa.

  Tanzania Oyeee. Tumetambua na Kujitambua.

  Mungu ibariki nchi yetu na watu wake.

  ReplyDelete
 2. Sasa uingie Lockdown.
  itakusaidia kiakili na kiafya.
  pia kuondoa aibu yako kwa wana Bunda.

  Heche anaomba kazi already ya Utingo.

  uchaguzi ni wake.. Shabiby au Msukuma buses. Je wewe Ualimu amekuachia?
  una uweza.?

  Uamuzi wa wana Bunda ni kielelezo tosha cha Utoro na ukosefu wa Adabu na Nidhamu.

  Bunda Oyeeee...!!!

  ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger