10/29/2020

Festo Sanga aibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Makete Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Makete, amemtangaza Mgombea Ubunge jimbo hilo Kupitia (CCM) Festo Sanga kuwa mshindi kwa kupata kura 24,237 akifuatiwa na Ahadi Mtweve (CHADEMA) mwenye kura 5077 na Grace Jekela (NCCR) kura 981.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger