10/08/2020

Magufuli "Hakuna kisingizio nataka kabla ya November mwaka huu mradi huu wa Stand Mbezi Luis uwe umemalizika"


 “Hawa Wakandarasi ni wazuri ila wamechelewesha mradi, hatuwezi kufumbia macho ujinga huu, Viongozi wa DSM mlielewe hili hizi ni fedha za Watanzania masikini, Mkurugenzi wa Jiji ndiye ulisaini Mkataba(Stand Mbezi Luis), nataka kabla ya November umalizike”-JPM

Hakuna kisingizio nataka kabla ya November mwaka huu mradi huu (Stand Mbezi Luis) uwe umemalizika, Wakandarasi wafanye kazi usiku na mchana, hakuna sababu ya kusingizia corona, mbona hawajavaa barakoa, Waziri huu mradi umalizike”-JPM

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger