Hali ya Zitto Kabwe na Wenzake Watano Baada ya Kupata Ajali

advertise hereKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepata ajali wakati akitokea Kalya kuelekea Lukoma kwa ajili ya kampeni katika Jimbo la Kigoma Kusini

Alikuwa na watu watano kwenye gari na wote wapo salama licha ya kupata majeraha. Wamefikishwa Kituo cha Afya cha Kalya Wilayani Uvinza mkoani humo baada ya kupatiwa huduma ya kwanza

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

1 [disqus]:

  1. Dua za MEMBE.

    UNA MCHAKACHUAJE..?? MANUSURA UMETOKA HAI.

    KAOMBE RADHI.

    ReplyDelete