Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepata ajali wakati akitokea Kalya kuelekea Lukoma kwa ajili ya kampeni katika Jimbo la Kigoma Kusini
Alikuwa na watu watano kwenye gari na wote wapo salama licha ya kupata majeraha. Wamefikishwa Kituo cha Afya cha Kalya Wilayani Uvinza mkoani humo baada ya kupatiwa huduma ya kwanza
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
1 Comments
Dua za MEMBE.
ReplyDeleteUNA MCHAKACHUAJE..?? MANUSURA UMETOKA HAI.
KAOMBE RADHI.