10/11/2020

Halima Mdee Afungiwa Siku 7 Kufanya KampeniKamati ya Maadili imemfungia Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 12 hadi 18, mwaka huu kwa kukiuka maadili ya uchaguzi.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Halima Mdee ameandika; “Kamati ya Maadili imenifungia siku saba, kuanzia 12-18/10/2020. Wamegoma kuangalia ushahidi tuliouwasilisha..”HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger