10/15/2020

Hamis Kigwangalla 'Serikali Kutumia HElikopta Kuzima Moto Mlima Kilimanjaro'

 


Waziri wa Utalii nchini, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema wanatazamia kutuma Helikopta na Ndege katika Mlima #Kilimanjaro ili kujaribu kuuzima moto unaoendelea kuwaka kwa siku ya 5 sasa


Jana Waziri Kigwangala alitangaza kuwa wameweza kuudhibiti moto huo, lakini baadaye moto ulianza kusambazwa zaidi na upepo uliovuma katika Mlima huo


Katika ujumbe wake wa Twitter, Waziri Kigwangalla amethibitisha kuwa moto unaendelea kuwaka

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger