Harmonize anunua ugomvi wa Alikiba "Upo tayari kwa mfalme wa mafundo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kama umeusikiliza wimbo mpya wa Alikiba 'Mediocre' kuna sehemu amewapiga dongo wapinzani wake kwa kusema "Pluu mpaka chini pigo, unataka u-king na mafundo mimi ndiyo baba Kingdom tena mnaji-show huyu Komando stage mafundo".

Fumbo hilo linatafsirika kama ni dongo kwenda kwa mtoto wa jirani na msanii Harmonize kwa sababu anatumia jina Jeshi, pia alitumia njia ya kushuka kama Komando kwenye siku ya utambulisho wa wachezaji wapya wa klabu ya Yanga.


Sasa kupitia post aliyoweka Harmonize kwenye ukurasa wa mtandao wa Instagram amempost msanii wake Ibraah Tz kisha akamjibu Alikiba kwa kuandika "Upo tayari kwa mfalme wa mafundo".


Mashabiki wengi wame-comment picha hiyo kwa kusema kama anatumia kiki ya Alikiba ili watu kumpa 'attension' msanii wake, huku wengine wanasema kwamba hajaimbwa ila amedakia ugomvi wa watu.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad