Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Haya Sasa Makubwa...SHILOLE Adai Ana Mimba ya Uchebe...

 


Usiku wa jana katika hafla ya mama Kijacho Aunty Ezekiel, muigizaji wa filamu na Mjasilimali Shilole amefunguka kuwa na yeye ni mama kijacho mtarajiwa. Shilole alisema maneno hayo alipokiwa akiongea na wageni waalikwa katika shughuli hiyo


Hivi karibuni muigizaji huyo amekuwa akidaiwa kuwa na mahusiano na mpiga picha aitwaye ROMMY. Hata hivyo wawili hao hawajawahi kukiri kuwa ni kweli au la.

Awali shilole alikuwa mke wa kijana Uchebe ambaye kwa sasa ni kama mtu na adui yake kwa kile kinachodaiwa Shilole alikuwa akipokea kipigo cha mara kwa mara kutoka kwa mumewe.

Hata hivyo baadhi ya wadau wamesema huenda mimba ikawa ni ya uchebe

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments