10/05/2020

Hili Hapa Ndio Neno la Mwisho la Chadwick Boseman wa Wakanda Kabla ya Kufariki Dunia

 


Mwezi Agosti mwaka huu dunia na kiwanda cha filamu kilimpoteza mwigizaji maarufu Chadwick Boseman ambaye alifariki kwa ugonjwa wa Saratani ya utumbo mpana.


Sasa Kaka wa marehemu Chadwick aitwaye Derrick ametueleza neno la mwisho ambalo alizungumza mdogo wake siku moja kabla ya kufariki dunia, Boseman alisema "Nipo kwenye hatua ya mwisho, nakuhitaji unitoe nje ya huu mchezo (unipumzishe)" Chadwick alimueleza Derrick ambaye ni mchungaji.


Baada ya kusikia hivyo, Derrick alimsalia na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu "Mungu mponye mja wako, Mungu muokeo, Mungu timiza ulitakalo." baada ya hapo siku iliyofuata Boseman alifariki dunia.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger