Innocent Bashungwa ashinda ubunge jimbo la Karagwe

 
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Karagwe Godwin Kitonka amemtangaza Innocent Bashungwa kuwa mshindi wa kiti cha ubunmge wa jimbo hilo akiwa amepata kura 68,371.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE