Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Jackline Mengi Afunguka kuhusu VITU vya Marehemu Reginald Mengi

 


Aliyekuwa Mke Wa Aliyekuwa Mwenyekiti Wa Makampuni Ya IPP REGINALD MENGI, JACKLINE MENGI Akifanyiwa Mahojiano Na Kipindi Cha CLOUDS 360 Amesema Baada Ya Msiba Wa Aliyekuwa Mume Wake Hajabadili Kitu Chochote Nyumbani Kwake

-

"Vitu vya Marehemu mume wangu vipo kama vilivyokuwepo zamani, unajua ukimpoteza mtu ambaye ulikuwa unaishi naye siku zote ndani ya nyumba hata ungetoa vitu haibadilishi kwa sababu sura ya huyo mtu inakuwepo na kumbukumbu zake bado zipo, inachukua muda kuizoea hiyo hali ya kutokuwepo kwake" @j_n_mengi, Miss Tanzania 2000

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments