10/31/2020

JAMBO LETU LIMETIKI: Katibu Wa NEC, Siasa na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Afunguka


JAMBO LETU LIMETIKI: Katibu Wa NEC, Siasa na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Leo Jumamosi Oktoba 31, 2020 ametoa Tamko la CCM kuhusu Uchaguzi Mkuu na Kupata nafasi ya Kuwashukuru Watanzania kwa Ushindi wa Kishindo walioutoa kwa CCM na Kueleza mambo mengine mbalimbali. Kwenye Mkutano huo na Waandishi wa Habari, Haya ndiyo Aliyoyazungumza Ndugu Polepole.


#VitendoVinaSauti.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

2 comments:

 1. Hongereni sana Wana CCM
  Kwa kampeni za Kisayansi na upendo ilikuwa na Ustaarabu wa Hali ya Juu.

  Hongera JPM kwaMuhula wa Pili

  ReplyDelete
  Replies
  1. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

   Delete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger