Jesca Amsambaratisha Mch. Msigwa Iringa Mjini

 

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Msambatavangu kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 36,034 dhidi ya mpinzani wake Peter Msigwa Chadema aliyepata kura 19,331. Msigwa alikuwa akilitetea jimbo hilo aliloliongoza kwa miaka 10.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

 1. Hongera Jesca Mama. Wanawake mnaweza.
  Ukitaka Sekletali KIBEKO yuko tayali

  Inasemekana Eti amepiga simu kuomba kujiunga Na Chama Teule.

  Wana Iringa tume kueleweni.
  Wa lokidowni muende kujiloki dauni.

  ReplyDelete