Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kamanda Mambosasa abaini mbinu ovu ya kuhatarisha usalama ‘Kuna mikutano ya siri inafanyika’KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam  ACP Lazzaro Mambosasa, amesema jeshi hilo limebaini uwepo wa vikundi vya watu wanaofanya mikutano ya siri ili kuhamasisha vurugu na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).


Amesema jeshi hilo limejipanga vyema kuhakikisha halitoi nafasi ya kufanyika kwa vurugu ili kuheshimisha Demokrasia nchini na maamuzi ya wananchi.

Amevitahadharisha vikundi hivyo viache mara moja mipango hiyo kwani vitakutana na adha kubwa ya Vyombo vya Dola.


Kadhalika Mambosasa, ameongeza kwa kuwataka wananchi watoe taarifa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pindi wanapobaini ama kuhisi uwepo wa watu wanaohamasisha vurugu ili kudhibiti hilo mapema.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

5 Comments

 1. Kamata. Tia ndani.
  Charge them bila haya au Huruma with High Treson charge with Adhabu ya Kunyongwa mpaka kukata Roho.

  Kikudi/ Vikudi.. chochote cha kuhatarisha Amaniyetusi Bora Kuliko Raia Mil 60.

  Ulinzi naUsalama msilifumbie macho
  madhara yake ni makubwa mno kuliko mnavyo fikiria kwa hawa wenye uchu wa
  madaraka jicho kwao liwe 24/7.

  Msichelewe kuwatia nguvuni.
  inawezekana kuwa pia wameingiza Mamluki (Mercinaries) nchini wa Rangi tofauti.

  Sera hawakuwa nazo, na sisi tumechagua
  tulio waona wanatufa.

  Wanawashwa na nini. Usalama wetu ni
  Wajibu wa Kila Mtanzania.

  ReplyDelete
 2. Kamata. Tia ndani.
  Charge them bila haya au Huruma with High Treason charges with Adhabu ya Kunyongwa mpaka kukata Roho.

  Kikudi/ Vikudi.. chochote cha kuhatarisha Amani yetu si Bora Kuliko maisha yetu Raia Mil 60.

  wana Ulinzi na Usalama msilifumbie macho.Mmadhara yake ni makubwa mno kuliko mnavyo fikiria kwa hawa wenye uchu wa madaraka jicho kwao liwe 24/7.

  Msichelewe kuwatia nguvuni.
  inawezekana kuwa pia wameingiza Mamluki (Mercinaries) nchini wa Rangi tofauti.

  Sera hawakuwa nazo, na sisi tumechagua
  tulio waona wanatufa.

  Wanawashwa na nini. Usalama wetu ni
  Wajibu wa Kila Mtanzania.

  ReplyDelete
 3. Msajili wa vyama vya Siasa.
  Tamko la kususpend chama na Makada wake
  watakao jitokeza kufanya Mikutano
  ya Uhamasishaji uvunjifu wa Amani na utulivu. kama walivyo mash wa Uamsho.

  Tanzania yetu ni Ghali kuliko maisha na kauli za hao walioshinddwa na Uchu wa Madaraka.

  Walinzi wao pia hawakubaliani na Ajendayao wanayo jaribu kupeperusha mitandaoni ya maandamano. Membe hakuwa
  katika hili la Macho kumchuzi, kikono na kiwete.

  TANZANIA YETU TUTAILINDA WENYEWE WAIWEMO WALINZI MLIOKUWA NAO. HAWANA
  NCHI MBADALA WAO NA FAMILIA ZAO.

  HATUTO KU PUUZENI NA NIA YENU OVU.

  UKIPATA DAFRAU NI YAKO MWENYEWE.

  HAKUNA WA KUTOKA NA KUSHIRIKI KUKUPATIA CCHEO ILI UPATE ULAJI WEWE NA MIE NIKIUMIZWA MKE WANGU NAWATOTO NA MAMA YANGU NANI ATAWALISHA??

  UTAKUJA KUNILIPIA HOSPITALI..??

  MSITUDANGANYE HAMKUWA NA SERA ZAIDI
  YA UCHONGANISHI/UFITIINISHAJI/ POROJO YA UPOTOSHAJI NA MATUSI/ NA HADISI YA 16,,MARA 16...

  MNATAKIWA KUJITATHMINI MNAVYO TUMIKA.
  NA KUHIFADHIWA PANAPO STAHIKI.

  KOMENI NA MUACHE KUPAYUKA PAYUKA.

  ReplyDelete
 4. Msajili wa vyama vya Siasa.
  Tamko la kususpend chama na Makada wake watakao jitokeza kufanya Mikutano
  ya Uhamasishaji wa uvunjifu wa Amani na utulivu. kama walivyo mash Uamsho.

  Tanzania yetu ni Ghali kuliko maisha na kauli za hao walioshinddwa na Uchu wa Madaraka.

  Walinzi wao pia hawakubaliani na Ajendayao wanayo jaribu kupeperusha mitandaoni ya maandamano. Membe hakuwa
  katika hili la Macho kumchuzi, kikono na kiwete.

  TANZANIA YETU TUTAILINDA WENYEWE WAIWEMO WALINZI MLIOKUWA NAO. WAO HAWANA NCHI MBADALA WAO NA FAMILIA ZAO.

  HATUTO KU PUUZENI NA NIA YENU OVU.

  UKIPATA DAFRAU NI YAKO MWENYEWE.

  HAKUNA WA KUTOKA NA KUSHIRIKI KUKUPATIA CCHEO ILI UPATE ULAJI WEWE NA MIE NIKIUMIZWA MKE WANGU NAWATOTO NA MAMA YANGU NANI ATAWALISHA??

  UTAKUJA KUNILIPIA HOSPITALI..??

  MSITUDANGANYE HAMKUWA NA SERA ZAIDI
  YA UCHONGANISHI/UFITIINISHAJI/ POROJO YA UPOTOSHAJI NA MATUSI/ NA HADISI YA 16,,MARA 16...

  MNATAKIWA KUJITATHMINI MNAVYO TUMIKA.
  NA KUHIFADHIWA PANAPO STAHIKI.

  KOMENI NA MUACHE KUPAYUKA PAYUKA.

  ReplyDelete
 5. Kuna tetesi kuwa anataka kusepa kwa
  njia ya panya akitokea mafichoni kurudi kwao.. tatizo lokidawni.

  Na Kisutu pia ni lazima aende kujibu.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)