Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kamanda Muslim Aanika Chanzo cha Ajali ya Ngara

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Muhubiri wa neno la Mungu Ostadh Mwaipopo ameongea na wana habari na kutoa maoni yake kuhusu kauli ya Masheikh ya kumuonya Sheikh Ponda aliyetumia neno la Mungu kuwaapisha baadhi ya viongozi wa CHADEMA akiwemo Tundu Lissu kuwa ndio Rais wa Tanzania.


Mwaipopo ameomuomba Rais Magufuli kutofuata maneno ya watu bali afanye kazi kufuata sheria ya nchi ila amemuomba awaonee huruma Masheikh ambao wapo gerezani ingawa yeye hakuwakamata na Rais Magufuli hajawahi kukamata kiongozi yeyte wa Dini.


“Lissu anatudanganya kuwa atawaachia masheikh waliopo gerezani wakati wanakamatwa alikuwa bungeni na ni mwana sheria hajawahi kuwatetea hata siku moja bungeni, lakini pia tunatakiwa tumuombe Rais Magufuli awaachie kwa huruma yake kumbukeni aliyewakata sio Magufuli tena walikamatwa na viongozi wakubwa wote walikuwa Waislamu.


Zitto Kabwe wakati anaondoka CHADEMA na kuanzisha ACT Wazalendo alisema kwa kimya chake kuwa CHADEMA kuna Udini Udikteta na Ukabila leo anageuka na kuwaunga mkono wale wale aliwakimbia kama sio maslahi binafsi ni nini,? atueleze kilichomkimbiza CHADEMA ni kipi kwanza na Sheikh Ponda alikuwa anampigia kampeni Limpumba kwanini sasa hivi amehamia kwa Tundu lissu tatizo nini kama hatafuti maslahi yake binafsi?

Post a Comment

0 Comments