10/14/2020

Kanye West: Lazima Serikali Ijibu Vilio vya Wanigeria

 


MUIMBAJI wa muziki wa rap nchini Marekani Kanye West ameelezea kuunga mkono Wanaigeria wanaoandamana dhidi ya ukatili uliofanywa na kikosi maarufu cha polisi cha kukabiliana na wizi (SARS).

 

Maandamano yaliyosambaa kote nchini Nigeria yamemlazimisha Rais Muhammadu Buhari kuvunja kikosi hicho. Lakini waandamanaji wanataka maafisa wa kikosi hicho kukabiliana na mkono wa sheria.

 

Kanye West ametuma tweet kwamba serikali ya Nigeria “lazima ijibu kilio cha watu “HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger