10/27/2020

Karibia Tuna Kula Pilau..Unaambiwa NDOA ya Lulu na Majizzo Yatangazwa

 


Hatimaye Ndoa Ya Elizabeth Michael na Francis Ciza (Majizzo) imetangazwa jana Kanisa Katoliki la Mtakatifu Andrea Bahari Beach, Mnaosali Kanisa hilo Mtakuwa Mmesikia­čśŐ

Mungu Awaongoze Waifikie Siku Yao bila Kipingamizi 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger