Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Katambi Ashinda Ubunge Shinyanga Mjini

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga amemtangaza Patrobas Katambi wa CCM kuwa Mshindi wa kiti cha Ubunge Shinyanga Mjini.


Kura zilizopigwa 50,453

Kura halali 49,688

Kura zilizokataliwa 765

Patrobas Katambi (CCM) 31,831

Salome Makamba (Chadema) 16,608.


Post a Comment

0 Comments