10/03/2020

Katibu Mkuu wa NATO kufanya ziara yake ya Uturuki jumatatuKulingana na taarifa iliyotolewa na NATO, iliaarifiwa kwamba Stoltenberg atatekeleza ziara yake nchini Uturuki na Ugiriki wiki ijayo.

Katika ziara hiyo, Stoltenberg atafanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki  Mevlüt Çavuşoğlu pamoja na maafisa wengine wa ngazi za juu siku ya Jumatatu katika mji wakati wa Ankara.


Baadaye Stoltenberg ataelekea Athens ambapo siku ya Jumanne, atafanya mkutano na Waziri mkuu wa Ugiriki  Kiryakos Miçotakis,  Waziri wa Mambo ya Nje Nikos Dendias na Waziri wa Ulinzi Nikos Panagiotopoulos .


Hapo jana, NATO ilitangaza ujio wa utaratibu wa mchakato unaondelea kwa muda mrefu kati ya Uturuki na Ugiriki kuhusiana na suala la utenganishaji wa Mediterania ya Mashariki.


OPEN IN BROWSER

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger