10/01/2020

Kiba Afunguka "Sina Shida na Diamond Platnumz Kila Mtu Afanye Kazi Kimpango Wake"

 


Staa wa Bongoflava anasema Hana Shida na Diamond ama Msanii yeyote ila anachotaka kila mtu afanye kazi kimpango wake.. Na wala asifatiliwe na Mtu

"Mimi Binafsi sina Shida na mtu Ningefurahi sana kila mtu afanye kazi zake kimpango wake tusifatiliane" Ali Kiba

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger