10/05/2020

Kipchoge akwama London Marathon, Ethiopia wang'aa

 


Mbio za London zimefanyika leo Oktoba 4, 2020, ambapo Mwanariadha Shura Kitata raia wa Ethiopia ameshinda mbio hizo.Wanariadha walioingia tatu bora, Shura Kitata, Vincent Kipchumba na Sisay Lemma


Kitata ameondoka na medali ya dhahabu baada ya kutumia muda wa Saa 02:05:41. 


Nafasi ya pili imeshikwa na Vincent Kipchumba wa Kenya ambaye ametumia muda wa 02:05:42.


Ilikuwa siku nzuri kwa taifa za Ethiopia baada ya mwanariadha mwingine kutoka nchi hiyo Sisay Lemma, kumaliza wa tatu akitumia 02:05:45.

 

Eliud Kipchoge amemaliza wa 8 ambapo ameeleza kuwa baada ya kilometa 25 alipata maumivu ya sikio lake la kulia na zikiwa zimebaki kilometa 15 kumaliza akapata maumivu ya nyonga hivyo kupunguza kasi yake

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger