10/12/2020

Kwa Kweli Diamond Platnumz SIO Mtu Mzuri...Aingiza VIDEO Mbili Tuzo za Grammy

 


C.E.O Wa Wcbwasafi diamondplatnumz Ameingia Katika Kinyang'anyiro Cha Kuwania Tuzo Za GRAMMY Kwenye Kipengele Cha Best Music Video Ambapo Zimeingia Video Zake Mbili Moja Ikiwa Ni JEJE Pamoja Na BABA LAO


Wengine ni Zuchu na Rayvanny

HONGERA KWAO... TUZO HIZI SIO MCHEZO

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger