Magufuli 'Huu mradi nitaufuatilia vizuri Mimi, halafu mtaona kama hamtazitapika' “Huu mradi wa Mbezi Luis Stand nitaufuatilia vizuri Mimi halafu mtaona kama hamtazitapika kama kuna pesa zozote mlizoziweka, nimeangalia site kila mahali, Bilion 71 Ndugu zangu ni nyingi, Bilion 71?, Mimi niliidhinisha Bil 51 leo ninaambiwa Bilion 71” -JPM

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE