10/08/2020

Magufuli 'Niliidhinisha Bilioni 51 leo ninaambiwa Bilion 71, Waziri ameniambia kuna Daraja sasa Daraja la kucost Bil 21 nitaliangalia' “Huu mradi wa Mbezi Luis Stand niliidhinisha Bil 51 leo ninaambiwa Bilion 71, inawezekana hiyo kazi iliyoongezwa ni muhimu, Waziri ameniambia kuna Daraja, sasa Daraja la kucost Bil 21 nitaliangalia, bahati nzuri nimekaa kwenye Wizara ya ujenzi miaka 20”- JPM


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger