10/12/2020

Mange Kimambi Awashukia Qeen Darling na Mumewe...Amshauri MKE Mdogo Kuchapa LapaUJUMBE WA MANGE KIMAMBI

Baada ya mapichapicha kufuatia Darleen kujifungua, Mange amtungua Isihack kisha kumkingia kifua Sabra ambaye ni mke mkubwa

"Nimekaonea huruma haka kadada. Staki kujua anavyoumwa roho. 

Let me tell you something dada, mbona unaonekana mtaftaji kwanini usichape lapa uachane na hizi karaha? Adui yako sio mke mdogo wala hawa wapambe wake. Adui yako ni mumeo. Yeye ndo alieta balaa hili kwenye maisha yenu, Yeye ndo anaeruhusu uumizwe hivi.


Amechagua upande anaoupenda zaidi, and he makes it very clear, hafichi, huna haja ya kuendelea kujing’ang’anizia hapo. You are young and beautiful utapata mume mwingine my dear, na mtoto utazaa, kazaa Bashite ushindwe wewe, tecknolojia zimejaaa kibao huwezi shindwa zaa.


Nenda kwa mwanaume atakae kuhangaikia mpaka nchi za nje na wewe uitwe mama. Huyo mumeo hatohangaika na wewe kuanzia dakika hii maana keshapata mtoto na atapata wengine hatotaka kuspend pesa kwako kukusaidia uzae. Ukibaki na huyo jamaa hutokaa uzae, hilo nakuhakikishia. Kama kweli unataka kuwa mama omba talaka, tena zote 3. 


Wanaume kibao wana wake wawili ila hatuwaoni mitandaoni kufanya mambo ya kuleta karaha kwa wake zao. Mumeo ni mshenzi wa tabia, hana huruma na wewe, hana utu. Kuna mawili either mumeo is too weak au hakupendi. Either way, don’t bother to find out, chapa lapaaaaaaa..

Haki mi sijui watu wanaishije na hizi karaha za uke wenza. Mi nisingeweza kuvumilia labda kama mume wangu ni Bakhresa ndo ningevumilia, inabidi maumivu unayonipa ya match na pesa uliyonayo/unayonipa🤣🤣. Mume mwenyewe wa kawaida ila karaha zake sio za dunia hiii, hapana nsingeweza 😭😭. Yani nahangaika mwenyewe kuuza madera na vijora alafu mwanaume ananiletea karaha za hivi na mke mdogo? Uwii narudi kwetu nianze moja.

Huyu dada sijui anaishije jamani kila akiamka ni mavideo ya mumewe na mke mdogo wakipetiana mitandaoni, sasa wameongeza na mtoto uwiiiiii mavideo yao staki kujua 🤣🤣. Huyu dada si ataanza kuumwa mapressure bado mdogo? Dada ondokaaaaa, trust me Allah has a bigger plan for you, utashangaaaa maisha ya furaha, mume na familia utakayoipata iwapo utapata ushujaaa wa kumuacha huyu mwanaume anaeku- ABUSE EMOTIONALLY EVERYDAY" ameandika Mange


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger