10/02/2020

Mashabiki Wa Yanga Waliowapiga Wale Wa Simba WafungiwaTAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Tanzania leo Oktoba 2 kuhusu matukio mbalimbali ambayo yamefanyiwa maamuzi baada ya Kamati ya Kusimamia Ligi Kuu Bara kupitia matukio mbalimbali.


Miongoni mwa waliopewa adhabu ni pamoja na mashabiki wa Klabu ya Yanga ambao waliwapiga mashabiki wa Simba na kuwachania jezi,kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.


Adhabu waliyopewa ni pamoja na faini na kufungiwa kutoingia uwanjani kwa muda wa miezi 12

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger